The Sacrament of Penance and Reconciliation  will take place on Tuesday 5th March at 5:30pm  with preparation

Please keep time


MATAYARISHO YA KIPINDI CHA KWARESMA

Kutakuwa na Sacramenti ya Kitubio na mapatanisho  siku ya Jumanne tarehe 5 Machi 2019 kuanzia saa kumi na moja na nusu jioni

Mnaomba kuzingatia wakati