Tunawakumbusha tena Jumapili tarehe 17/7/22 kutakua na uzinduzi wa awamu ya pili ya misururu ya michango yetu ya kanisa katika Misa zote.

Tutapokea pesa taslimu pekee. Pesa zilizopelekwa ofisini awali hazitotangazwa. Hakikisha umefuata maagizo haya.
Tunaomba ushirikiano wenu wa dhati.
Ujumbe huu umeletwa kwa niaba ya Kamati ya Mipango na uhamasishaji rasilimali